Welcome to the official page of TANESCO Tanzania | Karibu katika ukurasa rasmi wa TANESCO Tanzania

Tanzania
Joined June 2013
Mpaka sasa Serikali tayari imeshatenga kiasi cha shilingi bilioni mia 500 kwa mwaka ujao wa fedha 2022/2023 kutekeleza miradi mbalimbali itakayosaidia kuimarisha hali ya upatikanaji umeme kwenye gridi ya Taifa, Waziri January Makamba, katika ziara ya Mhe. Rais Tabora
15
7
1
27
"Uhakika wa upatikanaji wa umeme unategemea uimara wa miundombinu ya usafirishaji na uzalishaji wa umeme unaotosheleza" Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba, katika ziara ya Mhe. Rais Mkoani Tabora
3
8
23
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba leo Mei 19, 2022 ameshiriki ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Samia Suluhu Hassan Mkoani Tabora ambapo amewahakikishia wananchi kuimarika kwa hali ya upatikanaji wa umeme nchini kupitia uwekezaji wa miradi ya umeme inayoendelea.
1
7
19
USIKOSE KUFUATILIA
8
1
1
26
12
3
28
321
HII SI YA KUKOSA
20
4
1
28
1
2
21
211
Usikose
6
1
13
124
TAARIFA KWA UMMA
19
11
1
55
12
5
3
60
545
NGORONGORO YAUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA
3
16
139
NGORONGORO YAUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA
3
1
25
7
7
1
39
305
8
4
44
308
USIKOSE KIPINDI CHA TANESCO NA MAENDELEO LEO JUMANNE SAA 3 USIKU
12
2
17
159
Na team Eid Mubarak
4
2
1
50
Pamoja na kuwaangazia
170
81
34
2,335
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba leo Aprili 31, 2022 wilayani Mafinga Mkoani Iringa katika kikao kazi alichokutana na wadau wa biashara wa nguzo wakiwemo wakulima,wachakataji wauzaji,wamiliki wa viwanda vya nguzo za umeme pamoja na wabunge wa
1
4
mikoa ya Njombe na Iringa. Akizungumza na wadau hao Mh Waziri amesema "TANESCO na REA watanunua nguzo zote kutoka Tanzania Kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa"
1
7
Aidha amewataka kuanzisha mfumo ambao utawawezesha kuhakiki nguzo ili kupatikana kwa nguzo zenye ubora zitakazoweza kukidhi vigezo vya kuuza nguzo hata nje ya Nchi.
2
4
Show this thread