Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | bit.ly/3n4PXZk

Tanzania
Joined March 2011
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. @SuluhuSamia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana leo tarehe 22 Mei 2022 Ikulu ya Chawino Jijini Dodoma. #CCMImara #KaziIendelee
22
19
62
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 21, 2022 amefunga Semina ya Wabunge wa CCM iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. #CCMImara #kaziiendelee
4
15
1
74
#Maridhiano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022. #VitendoVinaSauti #TunaImaniNaSamia
4
11
43
Matukio Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia azungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022. #CCMImara #KaziIendelee
4
14
38
Matukio Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022. #CCMImara ##KaziIendelee
13
1
40
MHE. RAIS SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI - TABORA nitter.leftic.club/i/broadcasts/1lP…
1
11
2
31
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika Sherehe za ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km zilizofanyika Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022.
10
16
1
86
Matukio Picha Mbalimbali katika tukio la Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Koga-Mpanda km 342.9, Sikonge Mkoani Tabora.
3
9
1
33
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NDG @SuluhuSamia ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA TABORA, MEI 18, 2022. #CCMImara #KaziIendelee
2
4
21
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NDG @SuluhuSamia ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA TABORA, LEO MEI 18, 2022. #CCMImara #KaziIendelee
2
9
44